Tuesday, January 31, 2017

...Best student attributes his success to God

DAILY NEWS Reporters
BEST student in the just released National Form Four Examinations results, Alfred Shauri, yesterday credited all his achievements ‘‘to the Almighty God’’, advising all students to work hard under His guidance.

40tri/- national debt feasible, attests Mpango

BERNARD LUGONGO in Dodoma
RISING national debt to 19 billion US dollars (over 40tri/-) as of last December remains sustainable, the government said here yesterday, charging that the debt effects on the national budget are minimal.

35,000 tonnes for distribution to hunger stricken citizens

SYLIVESTER DOMASA in Dodoma
FOOD distribution to hunger stricken citizens has started, with the government announcing the possibility of missing the 2017/18 food production target.

Bugando unveils source of goalie Burhan’s death

ALEXANDER SANGA in Mwanza

EXCESSIVE fluid in the lung has been revealed as the cause of a sudden death of the former Kagera Sugar goalkeeper David Burhan, Bugando Hospital Officer in Charge, Dominician Ndyamukama, confirmed yesterday.

Mkwasa: Lwandamina’s job is safe

DAILY NEWS Reporter

He has promised to deliver and help the mission to take the club places, especially at the international level. Mkwasa also assured the club fans and members that he will never interfere with the technical bench currently under Head Coach, Zambian George Lwandamina.

Audit finds KPA directors dished out port land illegally

The Kenya Ports Authority yard in Mombasa. Photo/FILE
The Kenya Ports Authority yard in Mombasa. KPA directors irregularly approved a private developer’s excision of land in the port’s harbour area, causing the agency multi-million shilling loss. FILE PHOTO | NATION MEDIA GROUP 
By EDWIN MUTAI
In Summary
  • Auditor-General Edward Ouko says that the KPA board’s decision to approve construction of a private road through the harbour was in violation of laws that protect port land.
  • The report accuses the board of usurping the powers of the Transport minister and the National Land Commission (NLC), who are the only entities with the authority to alter any part of the port area.
  • The audit also found that the board had breached the KPA Act, which requires it to protect the port harbour area against any encroachment.
  • Despite the NLC writing to the private developer in December 2015 to explain its involvement in the land reclamation, Mr Ouko said the developer went ahead and acquired titles for the parcels.

East Africa: 2 Countries Yet to Ratify EAC Protocol


Photo: East African Legislative Assembly
Member states and and East African Legislative Assembly flags.
Kampala — Two East African Community partner states, are yet to ratify the EAC peace and security protocol, according to Dr Suzanne Kolimba, the chairperson of the Council of Ministers and Tanzania's deputy minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.

East Africa: FAO - 17 Million Short of Food

 
 Photo: The Herald
Food shortage (file photo).
Dar es Salaam — Over 17 million people in the Horn of Africa face food crisis, according to the United Nations Food and Agriculture Organisation (Fao).

Educate citizens on ‘local content’, MPs told

DAILY NEWS Reporter in Dodoma
Minister of State in the Prime Minister’s Office (Parliament, Labour Employment, Youth and Disabled), Jenister Mhagama
Reporter in Dodoma MEMBERS of Parliament (MPs) were yesterday called upon to educate the public on policies and other various skills they have so that Tanzanians keep abreast of what is going around in the country.

MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA KAMPENI YA KUPANDA MITI MILIONI 1.6 KAHAMA


Mkuu wa wilaya Kahama Fadhili Nkurlu akipanda mti kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya upandaji miti milioni moja na laki sita itakayopandwa katika maeneneo mbalimbali wilayani kahama kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kuufanya mji wa Kahama upendeze.
Mkuu wa wilaya kahama Fadhili Nkurlu akimwagia maji mti alioupanda wakati alipozindua kampeni ya upandaji miti
Mkuu wa polisi wilaya ya Kahama Mussa Mchenya akishiriki pia upandaji miti.
Afisa Usalama wa Wilaya ya Kahama Aretus Lyimo akishiriki upandaji miti wakati wa zoezi la uzindunzi wa upandaji miti milioni moja na laki sita.
Katibu Tawala wa Wilaya Kahama Timothy Ndanya akishiriki pia kupanda miti.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Asa Mwaipopo akifurahia wakati alipokuwa akipanda mti katika eneo la mgodi wa Buzwagi.
Meneja raslimali watu wa Mgodi wa Buzwagi Solomon Rwangabwoba akifurahia kupanda mti wakati wa uzindunzi wa kampeni ya upandaji miti milioni moja na laki sita itakayoendeshwa na mgodi wa Buzwagi.
 
******************************************************
 
Afisa Mkuu Mwendeshaji wa Kampuni ya Acacia Mark Marcombe akishiriki zoezi la upandaji miti milioni moja na laki sita miti ambayo inatajwa kuwa itasaidia katika kuipendezesha wilaya ya Kahama.
Afisa Mkuu wa Idara ya Raslimali watu wa Kampuni ya Acacia Peter Gereta akishiriki zoezi la upandaji miti.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Acacia anaeshughulikia Masuala ya Kampuni (Corporate Affairs) Deo Mwanyika akishiriki pia kupata mti.
Mh. Salome Makamba MB-(Viti Maalumu) akishiriki pia upandaji miti baada ya kupita karibu na eneo ambapo zoezi la upandaji miti lilikuwa likifanyika na akaona ni vyema na yeye akashiri katika kuunga mkono jitihada za Mgodi wa Buzwagi katika kupanda miti itakayosaidia katika utunzaji wa mazingira wa wilaya ya Kahama na Taifa kwa ujumla.
Afisa Mkuu wa Idara ya Utafiti wa madini (Exploration) Peter Spora akifurahia wakati alipokuwa akipanda mti katika eneo la Mgodi wa Buzwagi.


Taarifa kwa vyombo vya Habari:
Wakia Moja Mti Mmoja – Mgodi wa dhahabu wa Buzwagi wajipanga kupanda miti milioni 1.6

Kahama: 31/01/2017. Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi leo umezindua kampeni ya upandaji miti katika Wilaya ya Kahama ikiwa na lengo la kupanda mti kwa kila wakia ya dhahabu ambayo imechimbwa kwenye mgodi wa Buzwagi, ambapo miti zaidi ya milioni moja na laki sita inatarajiwa kupandwa katika kipindi cha miaka miwili.

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATANO FEBRUARI 1 , 2017.


Bunge Lapitisha Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria wa Mwaka 2016.


index
Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Mjini Dodoma limepisha Muswada wa Sheria ya Huduma ya Msaada wa Kisheria wa Mwaka 2016 (The Legal Aid Bill, 2016).
Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe alipokuwa akitoa taarifa wakati wa kuwasilisha muswada huo amesema kuwa muswada huo wa sheria umepitia hatua

HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI YAINGIA KATIKA TUHUMA NZITO YA ARIDHI WANANCHI WAWAJIA JUU Arusha_Clocktower

Arusha_Clocktower
Na Mahmoud Ahmad Monduli
Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Monduli wameitupia lawama halmashauri ya wilaya hiyo na kusema kuwa inachochea migogoro ya ardhi na kuwanyima baadhi ya wananchi amani ya kukaa katika vijiji vyao

BAABKUBWA MAGAZINE KUTUA MTAANI HIVI KARIBUNI


KUH
Baada ya ukimya wa muda Jarida namba moja kwa stori za burudani Tanzania “Baabkubwa Magazine” linakuarifu wewe mdau wetu, tumeanza kazi kwa msimu mpya na soon as possible toleo jipya linatuwa mtaani kwako likiwa na muonekano tofauti na wakuvutia kwa kusoma kila pages utakayotupia macho. NikoHub and Baabkubwa is under Candy and Candy Co LTD.