Thursday, August 31, 2017

Are Africa leaders at a cross road?

DORINE NININAHAZWE
DORINE Nininahazwe
WHEN African leaders converge again for their next Summit on the 30th next January, they will hopefully be appending their signature on the document that will chart the path towards achieving the goals of the long drawn theme: “Harnessing the demographic dividend through investment in the youth.”

Upcoming Kiswahili conference big boost to EAC integration

Robert Magunga
THE envisaged first conference on Kiswahili under the auspices of the East African Community (EAC), which is slated for Zanzibar, is most delightful, coming, as it does, against the backdrop of the momentum that the language is gaining.

Local company, South African firm ink deal to boost tourism

By: Joan Mbabazi
photo
Local and foreign tourists pose for a photo at the Kamiranzovu waterfalls in Nyungwe National Park. the firm will also market Rwanda as a tourist destination under the deal. File.
Efforts to promote Rwanda as a conference hub have been boosted by the signing of a partnership deal between local tour firm and one of South Africa’s leading events organisers.

New deal to boost productivity of mothers working in tea plantations

By: Emmanuel Ntirenganya
photo
NAEB's Urujeni exchanges documents with UNICEF's Maly after signing the Memorandum of Understanding. Sam Ngendahimana.
Mothers working in tea plantations are receiving a timely boost that will see them be more productive and their children getting better care.

DKT PALLANGYO AKUTANA NA KAMPUNI YA M & P EXPLORATION PRODUCTION TANZANIA LIMITED


PICHA NA 1
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akiongoza kikao kilichoshirikisha watendaji kutoka Kampuni inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya M & P Exploration Production Tanzania Limited, Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)
PICHA NA 2
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (kulia) akizungumza na Meneja Mkuu kutoka Kampuni inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya M & P Exploration Production Tanzania Limited, Christophe Maitre ( kushoto) katika kikao hicho.
PICHA NA 3
Sehemu ya watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo (hayupo pichani) katika kikao hicho
…………………..
Leo Agosti 31, 2017 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo amekutana na Kampuni inayojihusisha na utafiti na uchimbaji wa gesi ya M & P Exploration Production Tanzania Limited kwenye Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini zilizopo jijini Dar es Salaam lengo likiwa ni kujadili namna ya kuendeleza gesi ya Mnazi Bay. Kikao hicho pia kilishirikisha watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)

MAAFISA WA WIZARA YA USHIRIKIANO WA MAENDELEO YA UJERUMANI WATEMBELEA MAHAKAMA YA AFRIKA


Afisa
Mawasiliano Mwandamizi wa Mahakama ya Afrika na Haki za
Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chatbar(kulia)akiwaongoza wageni kutoka Wizara
ya ushirikiano wa  maendeleo ya Ujerumani kupitia taasisi zake GIZ na
AGA waliotembelea mahakama hiyo wamekua ni wadau wakubwa katika kusaidia
miradi mbalimbali ya mahakama hiyo.

Mkutubi
wa Maktaba ya mahakama  hiyo,Revina Moshi akizungumza na maafisa kutoka
shirika la maendeleo ya kimataifa ya Ujerumani(GIZ),kutoka kushoto ni
Afisa wa Wizara ya maendeleo ya Ujerumani anayehusika na Umoja wa
Afrika(AU) ofisi ya Addis Ababa,Ethiopia,Barbara Schaefer,Janina Hasse
kutoka  Berlin,Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA,Hartmut Krebs

Mkuu wa taasisi za GIZ na AGA,Hartmut Krebs akiangalia sehemu ya machapisho kwenye maktaba ya AfCHPR.

Msajili
wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR),Dk Robert
Enno(kulia)akizungumza na ujumbe kutoka taasisi za Wizara ya maendeleo
ya Ujerumani waliotembelea mahakama hiyo.

Msajili wa mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR),Dk Robert Enno akimkabidhi zawadi
Afisa wa Wizara ya maendeleo ya Ujerumani anayehusika na Umoja wa Afrika(AU) ofisi ya Ethiopia,Barbara Schaefer.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA WA SASA NA WASTAAFU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Kapilimba  alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017. Wengine ni watangulizi wa Dkt. Kapilimba, Bw.Cornel Apson, (wapili kushoto), na Bw.Rashid Othman,
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika chumba cha mkutano kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha  viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na  viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu wakisimama kwa heshima kuomboleza msiba wa baba wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu Jenerali  George Waitara wakati  alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuzungumza na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja  na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo yao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja  na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo pamoja na wakuu wastaafu wa Jeshi hilo Jenerali Mirisho Sarakikya (wa pili kushoto), Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) na Jenerali  Robert Mboma (wa pili kulia) alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo yao.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Mirisho Sarakikya alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu Jenerali Robert Mboma alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  mstaafu Jenerali Davis Mwamunyange alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro pamoja na IGP wastafu Omari Mahita, Saidi Mwem na Ernest Mangu alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omari Mahita alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Ernest Mangu alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali  wa Jeshi la Magereza Dkt Juma Malewa (kushoto) pamoja na Wakuu wa jeshi hilo wastaafu Simon Mwanguku (wa pili kushoto), Nicas Banzi (wa tatu kulia) Augostino Nanyaro na  John Casmir Minja (kulia) alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Simon Mwanguku alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Nicas Banzi alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu Augostino Nanyaro alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Mstaafu John Casmir Minja alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.  Modestus Kapilimba (kushoto) pamoja na Wakurugenzi Wakuu wastaafu Cornel Apson (wa pili kushoto) na Kulia Rashid Othman alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Cornel Apson  alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Kapilimba  alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Rashid Othman  alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt Anna Peter Makakala (kushoto) na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Mstaafu Kinemo Kihomano alipokutana na Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (kulia) na Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi hilo Mhandisi Pius Nyambacha alipokutana na Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji  Mhandisi Pius Nyambacha alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Kamishna jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Omari Mahita alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa mstaafu Cornel Apson  alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wasasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema akibadilishana mawazo wa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo (kulia), Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa (wa pili kulia) na Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wakuu wa Jeshi la Polisi wastaafu Saidi Mwema na Omari Mahita alipokutana na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu Saidi Mwema akiongea na wanahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi baada ya kukutana na  viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wa sasa na wastaafu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 31, 2017. (Picha zote na  IKULU).